Monday, April 15, 2013

Rais anampenda mke wanguThe President Loves My Wife: 
Rais Anampenda Mke Wangu

by Eric James Shigongo

ISBN 998789464X / 9789987894642 / 9987-8946-4-X 
Publisher Global Publishers & General Enterprises Ltd 
Country Tanzania 
Language Swahili 
Edition Hardcover 

Kama ni mafanikio alikua nayo tena katika umri mdogo na kwa mafanikio hayo alikuwa na uwezo wa kumwoa msichana yoyote jijini Dar es Salaam alikoishi, lakini Derrick hakufanya hivyo. Badala yake aliamua kwenda kijijni kwao kutafuta mchumba ili kumsaidia maishani. Hivyo ndivyo alivyomwahidi    mama yake mzazi!

Hakujua kwa kufanya hivyo alikuwa akitafuta kifo chake na mateso makubwa maishani, kwani wema wake uligeuka majuto makubwa. 
Hii ni hadithi ya kusisimua na kufundisha mengi maishani. Ukidiriki kuanza kusoma kitabu hiki hutatamani kukiweka chini na utakapomaliza utakuwa umebadilika kiasi kikubwa kimawazo na kimatendo. 
     

  Mtunzi wa kitabu hii, E. J. Shigongo, ni mwandishi mkongwe                    wa hadithi nchini Tanzania. Pia ni Mhamasishaji wa watu kutoka kwente  Umaskini na Mjasiriamali. 
Anapatikana kwenye 
www.ericshigongo.com

6 comments: