Friday, June 7, 2013

COUNTING HOURS TO THE BIGGEST ENTERTAINMENT EVENT IN TANZANIA, THE KILIMANJARO MUSIC AWARDS

Mpigie kura msanii unayetaka ashinde tuzo hizi. Wapiga kura wanatakiwa kuandika namba ya msanii, wimbo, kikundi au bendi anayotaka ishinde na kisha kutuma kwenda namba 15346. Njia nyingine zaidi ya ujumbe mfupi (SMS) ni pamoja na Email, kwenda ktma@innovex.co.tz au kutembelea tovuti ya www.kilitimetz.com na kupiga kura moja kwa moja.

msanii bora wa hiphop  
Fid Q, 

Joh Makini, 
Kala Jeremiah, 

Profesa J, 

Stamina

Wimbo bora wa Mwaka 
Dear God Kala Jeremiah, 
Leka Dutigite Kigoma All Stars, 
Mapito - Mwasiti Ft Ally Nipishe, 
Me and You -Ommy Dimpoz Ft Vanessa Mdee 
Pete - Ben Pol.
Msanii bora wa Kiume 
Ben Pol, 
Diamond, 
Linex, 
Mzee Yusuf  
Ommy Dimpoz.
Msanii bora wa kike
Isha Mashauzi, 
Khadija Kopa, 
Lady JayDee, 
Mwasiti 
Recho.
Msanii bora wa kiume Bongo Fleva
Ally Kiba, 
Ben Pol, 
Diamond, 
Linex 
Ommy Dimpoz

Msanii bora wa kike Bongo Fleva
Linah, 
Mwasiti 
Recho 
Shaa
 Msanii bora anaechipukia
Ally Nipishe, 
Angel, 
Bonge la Nyau, 
Mirror 
VanessaMdee
Video Bora
Baadae - Ommydimpoz 
Kamili gado - Profesa_Jay 
Marry me - Rich Mavoco, 
Nichum -Bob Jr
Partyzone  -AY
Mtunzi bora wa mashairi Bongo Fleva 
Ally Kiba, 
Barnaba, 
Benpol, 
Linex
Ommydimpoz
Mtunzi bora wa mashairi Hiphop
Joh Makini, 
Kala Jeremih,  
MwanaFA 
Stamina
Fid Q
Mtunzi bora Mashairi kwenye Band 
Chaz Baba, 
Greyson Semsekwa, 
Jonico Flower
Jose Mara 
Khaleed Chokoraa
Mtayarishaji bora muziki wa kizazi kipya
Bob Juniour, 
C9, 
Imma the Boy, 
Man Water, 
Maneke, Marco
Marco Chali 
Mensen Selekta

wimbo bora wa bongo pop 
Aifora - Linex
Baadae - Dimpoz,
Chuki Bure-Sharo,
Marry me-Mavoco 
Me & You Ommy Ft Vanessa Mdee
Wimbo bora wa kushirikiana
Chuki bure -Sharo Milionea Ft Dully Sykes
Mapito-Mwasiti Ft Ally Nipishe 
Me & You, Ommy Dimpoz Ft Vanessa mdee
Sihitaji marafiki  - Fid Q Ft Yvinne Mwale
Single boy - Ally Kiba Ft Jaydee
 
wimbo bora wa hiphop
Alisema -Stamina, 
Bum Kubam -Nikki wa II, 
Dear God -Kala Jeremiah, 
Nasema nao  - Nay 
Sihitaji Marafiki - Fid Q
 
Wimbo bora Afrika Mashariki
Fresh all day - Camp Mullah 
Make you dance - Keko 
Maswali ya polisi - DNA 
Still a Liar - Wahu 
Valuvalu -Jose Chameleone
wimbo bora wa zouk & rhumba
Gubegube -Barnaba, 
Mapito - Mwasiti
Nashukuru umerudi - Recho 
Ni wewe - Amini 
Sorry - Barnaba.
 
bendi bora ya mwaka
The African Stars Band, 
Mapacha Watatu, 
Mashujaa Band 
Mlimani Park Orchestra (Sikinde) 
Msondo Ngoma Music Band.

No comments:

Post a Comment